HABARIZILIZOTUFIKIA: Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam imewahukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa waziri wa zamani wa fedha Bazil Mramba,na aliyekuwa waziri wa zamani wa madini na nishati,Daniel Yona baada ya kukutwa na hatia ya uhujumu uchumi matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 11.7.Endelea kufuatilia taarifa zetu kufahamu zaidi.
Related Posts
- [wanabidii] MAGAZETI YA LEO
- [wanabidii] African Diaspora Conference press conference-LIVE ONLINE www.diasporadialogue.com
- [wanabidii] Press Freedom Index 2011 - 2012
- [wanabidii] How to solve traffic jams by Jonas Eliasson
- [wanabidii] Polisi afukuzwa kwa kumla uroda mtuhumiwa
- [wanabidii] Centers for the GMAT and TOEFL TEST in Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments