ANGUKO LA MWAKA HUU NI LA CHADEMA
Mdahalo ulikuwa wa viongozi wakuu wote wa vyama vya upinzani na sio watia nia wa nafasi ya urais.
Mh. James Francis Mbatia Zitto Kabwe na Makaidi hawa wote ni watia nia kwa nafasi ya ubunge lakini wote walikuja kama viongozi wa vyama vyao.
Iweje nyinyi mnao subiria skendo itoke ndio mnajua kuzungumza hamkuweza kufika kwenye mdahalo. Lakini wala sishangai kwa hilo kwa sababu chama lenu la CHADEMA linaongozwa na mpiga disco.
Kiongozi wa juu wa CHADEMA hasiye na CV. Yaan mpaka sasa elimu yake haijulikani kuwa alisomea nini mpaka Julius S. Mtatiro alishindwa kupata wasifu wa kiongozi wenu ili lingekuwa ni CCM au vyama vingine ingekuwa skendo.
CHADEMA ni chama ambacho kinaishi kwa tetesi, umbea, wizi, usuda na mambo mengine yanayo fanana na hayo. Ndio maana nikasema anguko la mwaka huu sio la CCM ni la CHADEMA.
Mbadala wa CHADEMA ni ACT Tanzania na vyama vingine vinavyo unda UKAWA. Mgombea wa urais wa UKAWA najua atakuwa Prof. Lipumba kwa sababu CV yake inajulikana na kila mtanzania.
ACT TANZANIA limekuja kusambaratisha mabwabwa wa CHADEMA. Na endeleeni hivyo hivyo kukimbia midahalo
Nimeitoa Wanabidii
mwandishi Fakhi Karume

Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6QjD6uYzyU0Tugxo6jpNcac37pwV%2B-gUjPoi-L-5%3D%3DKC6Q%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments