Ndugu zangu kuna shamba lenye ekari 6.8 limepandwa miti aina ya mitiki. Miti hiyo ina umri wa miaka 13. Shamba lipo Turiani mtibwa. Kwa mwenye kuhitaji na maelewano awasiliane na Mzee seif Mwinyishehe kwa simu namba 0786804115
Related Posts
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments