[wanabidii] Mdau.Hamisi Mrisho Afunga ndoa na Bi.Rehema Milanzi

Saturday, June 20, 2015

MDAU HAMISI MRISHO AFUNGA NDOA NA BI.REHEMA MILANZI ,SEGEREA JIJI Dar-es-Salaam


Mdau Hamisi Mrisho Mohamedi mzawa wa Kariakoo ambaye pia ana makazi yake kule Segerea Jiji Dar,siku ya Ijumaa 19 Juni 2015 alifunga ndoa na Bi.Rehema Joachim Milanzi mkazi wa Segerea,Dar.mdau Hamisi Mrisho Mohamedi kaachana kabisa na klabu ya Makapera aka Bado nipo nipo Club na fanikiwa kupata mama mwenye nyumba Bi.Rehema Milanzi, harusi hiyo ilifanyika Masid Kubah iliyopo Segerea mwisho,Dar-es-salaam,tunawatakia maisha mema maharusi.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments