[wanabidii] VINYWAJI BARIDI VICHAFU

Wednesday, May 20, 2015
JAMANI KUNA KINYWAJI CHA KAMPUNI MOJA MAARUFU NIMEKUTA KUNA UCHAFU MBAYA SANA IKIWEMO MFUKO WA KIROBA NDANI. KABLA SIJAFUNGULIWA NIKAGUNDUA KUWA NI CHAFU VILE. NAOMBA UTARATIBU WA KUFUATA KWA ISSUE KAMA HII.
ILI NICHUKUE HATUA STAHIKI KWA KAMPUNI HUSIKA.

NAWAKIRISHA
 
Masedon
P O Box 1280
Dar es Salaam
Mobile: +255 762 95 49 21

Share this :

Related Posts

0 Comments