[wanabidii] Fursa za kilimo biashara na ufugaji.

Monday, May 11, 2015


Kampuni ya CPM Business Consultants inatoa fursa za kilimo biashara na ufugaji ambapo inakuwezesha kumiliki biashara yako ya kilimo cha Green House, ufugaji wa kuku na ufugaji wa samaki.
Fursa za ujasiriamali ambazo zinatolewa ni kama ifuatavyo;

KILIMO CHA GREEN HOUSE.
- Mtaji unaohitajika ni sh. 6,000,000.00
-utajengewa Green house yenye ukubwa wa mita 8x15.
- Utalimiwa green house.
- Utatengenezewa miundombinu ya mabomba kwa ajili ya drip irigation.
- Utapandiwa nyanya.
Utapatiwa mtaalamu AGRONOMIST atakayekuwa anakutembelea 
- Mapato yanayoyatarajiwa ni sh. 36,000,000 kwa mwaka.

UFUGAJI WA SAMAKI.
- Mtaji unaohitajika ni sh. 9,000,000.00 
-utajengewa bwawa la samaki lenye ukubwa wa mita 10x15.
- Utapatiwa vifaranga vya samaki 1500.
-Utapatiwa mtaalamu wa mifugo atakayekuwa anakutembelea 
- Mapato yanayoyatarajiwa ni sh. 18,000,000 kwa mwaka

UFUGAJI WA KUKU CHOTARA.
- Mtaji unaohitajika ni sh. 6,000,000.00
-utajengewa banda la ukubwa wa mita 5x10.
- Utapatiwa vifaranga vya kuku 500.
Utapatiwa mtaalamu wa mifugo atakayekuwa anakutembelea 
- Mapato yanayoyatarajiwa ni sh. 52,000,000 kwa mwaka


Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0784394701.

CHARLES NAZI 
MKURUGENZI 
CPM BUSINESS CONSULTANTS.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments