[wanabidii] TOFAUTI KATI YA KUOKOKA NA KUONGOKA

Sunday, April 19, 2015
[Yesu] akasema, Amin nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni (Mathayo 18:3)
Kuongoka = Kubadilika=Kugeuka =Kutubu. Converted, changed in disposition and conduct, as a little children, lowly and un-ambitions.  Such little child, such humble Christians. Change, turn about and become like a little children [trusting, lowly, loving forgiving].
Kuongoka=Kutoa matunda yapasayo toba. Basi toeni matunda yapasayo toba (Luka 3:8).
Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. (Warumi 10:9)
Kuokoka=into righteousness, so as to attain justification, confession or bold profession which are means to attain the end.
Kuokoka= Uhamisho= Transfer kutoka kwa shetani kwenda kwa Yesu. Naye alitutoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake, ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi (Wakolosai 1:13-14).
Kuokoka=Kuzaliwa mara ya pili. Yesu akajibu, akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu. (Yohana 3:3) Ni lazima basi kila mtu kuokoka na kuongoka. Materu

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments