[wanabidii] MAMBO MATANO (5) USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD MEMBE

Thursday, April 09, 2015

MAMBO MATANO (5) USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD MEMBE

1. Jina halisi la Bernad Membe ni Bakari Membe ambaye ni muislamu kwa dini na si mkristo. Hata ndugu zake Membe wengi ni waislamu wa kabila la wamwera.

2. Baba yake halisi (biological father) ni Mzee Mrisho Kikwete ambaye alizaa na Cecilia John Membe ambapo kwa kabila la Wamwera uchukua jina la ukoo wa Mama na kulifanya ndio jina la ukoo wa mtoto. Wamwera ni kabila linalofuata matrilenial system ambapo Mama ndiyo mwenye dhamana kubwa na mtoto.

3. Bernad Membe amelelewa na Baba wa kufikia aitwaye Kamilius Anthony ambaye anamtaja ndiye Baba yake mzazi. Hii ni kama ilivyo kwa Nape Nnauye ambaye anamtaja Mzee Mosses Nnauye ndiye Baba yake wakati Baba yake halisi wa Nape ni Prof. Mark Mwandosya.

3. Bernard Membe na Rais Jakaya Kikwete ni mtu na Kaka yake. Wameshare Baba mmoja ila Mama tofauti tofauti.

4. Membe alimuokoa Jakaya Kikwete wakati akiwa jeshini ambapo JK alitoroka kambini na kwenda kwa kulala kwa mwanamke. Wakati wa kuitwa majina hakuonekana na ndipo ikaundwa kamati ya kwenda kuchunguza alipokuwa JK. Kamati hiyo iliongozwa na Bernard Membe (mdogo wake) ambaye alifanya juu chini hadi kumuokoa JK asitimuliwe jeshini. Kwa kuonyesha fadhila, JK aliposhinda urais akamuingiza Membe kwenye baraza la mawaziri na Membe amempa sharti la kuhakikisha anamsaidia ashinde urais la sivyo ataanika mambo yote ya siri ya JK. Hii ndio sababu kubwa nyingineyo ya familia ya Kikwete kuamua kumsaidia Membe katika urais.

5. Membe anapiga kufa na kupona kuingia ikulu ili afanikishe malengo aliyotumwa na jumuiya kimataifa za kiislam za kuhakikisha analifanya Taifa la Tanzania kuwa Taifa la kiislamu. Alishaianza hii kazi maalum kwa kushinikiza kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi hapa nchini, wazo lililoletwa na Bernad Membe.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments