[wanabidii] Tanzania Distilleries Wachangia Mil 10 Imetosha Foundation

Friday, March 20, 2015
Tanzania Distilleries Wachangia Mil 10 Imetosha Foundation

[caption id="attachment_56109" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-56109" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa (wa pili kushoto)akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0194.jpg" width="800" height="451" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa (wa pili kushoto) akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino.[/caption]

[caption id="attachment_56114" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-56114" alt="Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Limited." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0171.jpg" width="800" height="543" /> Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Limited.[/caption]

[caption id="attachment_56117" align="aligncenter" width="600"]<img class="size-full wp-image-56117" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0198.jpg" width="600" height="796" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino.[/caption]

[caption id="attachment_56110" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-56110" alt="Mkutano wa waandishi wa habari na Kamati ya Imetosha Foundation ukiendelea idara ya habari maelezo, ambapo pia ulipokea mchango wa milioni 10, zilizotolewa leo na kampuni ya Tanzania Distilleries Limited kusaidia kampeni maalum za kupinga mauaji ya albino nchini." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0192.jpg" width="800" height="457" /> Mkutano wa waandishi wa habari na Kamati ya Imetosha Foundation ukiendelea idara ya habari maelezo, ambapo pia ulipokea mchango wa milioni 10, zilizotolewa leo na kampuni ya Tanzania Distilleries Limited kusaidia kampeni maalum za kupinga mauaji ya albino nchini.[/caption]

[caption id="attachment_56111" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-56111" alt="Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kulia) akizungumza kwenye mkutano huo. TBN inashirikiana na Imetosha Foundation kupaza sauti kupinga mauaji ya watu wenye ualbino nchini." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0184.jpg" width="800" height="531" /> Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kulia) akizungumza kwenye mkutano huo. TBN inashirikiana na Imetosha Foundation kupaza sauti kupinga mauaji ya watu wenye ualbino nchini.[/caption]

[caption id="attachment_56112" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-56112" alt="Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Limited. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi. " src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0183.jpg" width="800" height="531" /> Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Limited. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi.[/caption]

[caption id="attachment_56113" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-56113" alt="Baadhi ya wanachama wa Imetosha Foundation wakiwa katika Mkutano na waandishi idara ya habari maelezo." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_01731.jpg" width="800" height="486" /> Baadhi ya wanachama wa Imetosha Foundation wakiwa katika Mkutano na waandishi idara ya habari maelezo.[/caption]

[caption id="attachment_56115" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-56115" alt="Kamati ya Imetosha Foundation akiwa katika mkutano na wanahabari kupokea mchango wa milioni 10, zilizotolewa leo na kampuni ya Tanzania Distilleries Limited kusaidia kampeni maalum za kupinga mauaji ya albino nchini." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0164.jpg" width="800" height="414" /> Kamati ya Imetosha Foundation akiwa katika mkutano na wanahabari kupokea mchango wa milioni 10, zilizotolewa leo na kampuni ya Tanzania Distilleries Limited kusaidia kampeni maalum za kupinga mauaji ya albino nchini.[/caption]

_______________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments