[wanabidii] TAMBO ZA KIGOGO IKULU ZAWACHEFUA WATANZANIA

Friday, March 06, 2015

TAMBO ZA KIGOGO IKULU ZAWACHEFUA WATANZANIA

Kauli ya Mnikulu (msimamizi wa Ikulu ya Rais), Shaban Gurumo, kwamba hata kama asingepata mgawo wa Sh. milioni 80.8 kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited, James Rugemalira, angeweza kutatua shida zake kwa kuwa anamiliki fedha zaidi ya hizo na kiasi cha milioni 80.8 ni kidogo na cha kawaida kwake kulingana na fedha alizonazo. Wanaharakati mbalimbali wameelezea kuwa kauli hiyo ni ya dharau, kuudhi na pia ni kejeli kwa Watanzania, ambao wengi wao ni maskini na hata kupata mlo wa siku ni shida.

Wewe kama mwananchi uliichukuliaje kauli hii ya bwana Gurumo?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments