[wanabidii] MWALIKO WA MAFUNZO MUHIMU

Monday, March 09, 2015
Salaam,

AXIS BUSINESS CONSULT LIMITED inapenda kutoa Mwaliko wa kuhudhuria Mafunzo muhimu ya "Namna ya Kujenga na Kuimarisha Uchumi Binafsi na Uchumi wa Familia". Mafunzo hayo yatafanyika mnamo Jumamosi ya Tarehe 14 Machi, 2015 kuanzia Saa Tatu Kamili Asubuhi katika Chumba Na. 423, Jengo la UDEC, Shule Kuu ya Biashara, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Kwa maelezo zaidi, tafadhari soma Kipeperushi kilichoambatishwa na usisite kuwasiliana nasi. Tafadhari, tunaomba wajulishe wote walio karibu nawe kwa maendeleo yetu na familia zetu.

Ahsante sana na karibu,

Mbwana R. Kambangwa,
Muandaaji,
Axis Business Consult Limited,
Chumba Na. B210,
Jengo la UDEC - Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

S.L.P 41312,
Dar es Salaam
Simu: 0789 644988

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments