[wanabidii] Jee wewe ni mtu maarufu unapenda kutunga kitabu cha historia yako?

Saturday, March 07, 2015

Kampuni ya CPM Business Consultants inatoa huduma ya kuwaandikia vitabu watu maarufu kama vile Wanasiasa, Wasanii, Wanamuziki ambao wangependa kuwa na vitabu vya historia zao.
Faida ya kuwa na kitabu chako ni kama zifuatazo;
1. Kukuongezea umaarufu kwa kuwa na washabiki au wafuasi wengi baada ya kusoma kitabu chako.
2. Unaweza kukitumia kwenye kampeni yako kama wewe ni mwana siasa na kikakusaidia kushinda uchaguzi.
3. Kinaweza kukuongezea kipato kama utaamua kukiuza.
4. Utaweka kumbu kumbu ya kudumu kwa vizazi na vizazi.
Kitabu chako kitaandaliwa na CHARLES NAZI mwandishi na Mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri. Ameweza kuuza nakala 5000 hadi sasa. Kazi atakazozifanya ni kuandaa mswada (manuscript) na kukisimamia hadi kichapishwe. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0784394701

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments