Jamani kwa sasa hakuna vidonge vya ALU- mseto mahospitalini wala kwenye pharmacies , je si malaria itatumaliza, na ni hatari sana kwa afya. Nimesaka toka juzi ktk maduka zaidi ya kumi naambiwa hakuna na hospitalini nako hakuna sasa jamani si hatari itakuaje
wazir hajatoa tamko kua hakuna hizo dawa , au ukosefu wa pesa kuzziagizia
wadau embu wazir aulizwe alitolee ufafanuzi
mollel
0 Comments