[wanabidii] Madhara ya mbegu za mahindi za MONSANTO zinazouzwa Moshi

Tuesday, February 17, 2015
Jamani nimesikia tangazo la mbegu za mahindi za Monsanto zinapatikana Moshi. Zinadaiwa kuwa ni za muda mfupi na zinastahimili ukame n.k.

MONSATO anapigwa vita nchi nyingi yakiwapo baadhi ya majimbo nchini Marekani kwenyewe e.g Hawaii, na nchi nyingine kama Guatemala n.k kwa sababu hizi ni zimekuwa genetically modified (GMO) na zinaweza athiri kilimo chetu na mlaji.


Hivi watafiti wetu wa kilimo hasa SUA walifanya utafiti wa kutosha na kujiridhika kuwa huko mbeleni hazitatuletea madhara ambayo wenzetu wameshayaona?

Kama tatizo ni ukame wasingeweza saidia tupate maji ya kumwagilia? I think our country or Africa at large has fertile land na shida kubwa ni maji (mfano kwa eneo la Himo na Njia Panda ....

Jamani tuangalie kwa nini wenzetu waliotuzidi kimaendeleo wanaikataa hii technology na kama kuna uwezo wa kuwasaidia wakulima wasije dhurika huko mbeleni sio kibiashara tu hata kiafya.





--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments