Habari za leo!
Napenda kufahamishwa njia rahisi na nafuu (kwa basi, treni, taxi, n.k) ya kuufikia ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia kutokea uwanja wa ndege wa Kuala Lumpur.
Kama kuna mtu anafahamu hoteli nafuu zilizopo karibu na ubalozi. Pia napenda kufahamu sehemu ya karibu na ubalozi ambayo mtu anawezakukaa.
PS. Nimejaribu kutafuta kweenye "Google" lakini napata majibu yanayokinzana. Ndiyo maana ninaomba kusaidiwa, yamkini kuna mtu ameshawahi kufika hapo.
--Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAEZBzkDwX0yvb%3DCr2dLLBh4pbbby%3DN8ZouW7MOrdGfBCzUOwPw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments