RAISI MTALAJIWA 2015 NI EDWARD LOWASSA
Sisi wataalamu wa demokrasia tunasema; demokrasia haiwezi kudumu ikiwa wachache hawatakubali matakwa ya wengi.Watanzania waliowengi wanasema waziwazi ya kwamba Edward Ngoyai Lowassa ndie mkombozi wa Taifa hili aliebaki na wanaemuamini. Nitampigania Lowassa kwasababu ninaamini kufanya hivyo ni njia pekee ya kulikomboa Taifa hili kutoka kwenye wimbi la umasikini.
Nawapenda sana akina Mizengo pinda na Stephen.W.Wasira ila tatizo sura zao zinanitisha Jamani sura sio roho lakini mimi hawa jamaa nasema hapana.,Lakini huyu Dr Wilbroad Slaa na yeye ni Mgonjwa,nani asiejua ya kwamba Dr Slaa ameathirika? Hatutaki msiba Ikulu…..!!
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeh.........!
-- Sisi wataalamu wa demokrasia tunasema; demokrasia haiwezi kudumu ikiwa wachache hawatakubali matakwa ya wengi.Watanzania waliowengi wanasema waziwazi ya kwamba Edward Ngoyai Lowassa ndie mkombozi wa Taifa hili aliebaki na wanaemuamini. Nitampigania Lowassa kwasababu ninaamini kufanya hivyo ni njia pekee ya kulikomboa Taifa hili kutoka kwenye wimbi la umasikini.
Nawapenda sana akina Mizengo pinda na Stephen.W.Wasira ila tatizo sura zao zinanitisha Jamani sura sio roho lakini mimi hawa jamaa nasema hapana.,Lakini huyu Dr Wilbroad Slaa na yeye ni Mgonjwa,nani asiejua ya kwamba Dr Slaa ameathirika? Hatutaki msiba Ikulu…..!!
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeh.........!
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments