[wanabidii] MADHARA YA UANDISHI HAFIFU WA KATIBA YA KAMPUNI (MEMORUNDUM AND ARTICLES OF ASSOCIATION)

Friday, January 16, 2015


Kama ilivyo kawaida, Ili uweze kusajili kampuni ni lazima uwe umeandaa katiba ya kampuni (memorandum and articles of association). Kawaida katiba hizi huandaliwa na wataalam (wanasheria) za biashara wenye uzoefu.

Kuna makosa mengi ambayo hujitokeza katika uandishi wa katiba ambayo huwa na madhara makubwa siku za mbeleni. Ni hatari sana kwa mtu asiye na utaalam na uzoefu kuchukua katiba  ya kampuni nyingine na kuedit kisha akadhani amekwisha andaa katiba ya kampuni tayari kwa usajili.

Kuna madhara mengi lakini kwa uchache tutazumgumza haya.

1.       Adha ya kwanza kabisa utakayopata ni usajili wa kampuni kukataliwa kutokana na makosa ya kisheria, kiufundi na kiuandishi yatakayobainshwa na msajili. Mfano. Kutumia sheria zilizopitwa na wakati, mpangilio, n.k

2.       Unaweza ukatengenezewa katiba inayokufunga kubadili mambo ya msingi ambayo yanatakiwa yabadilike kadiri biashara inavyobadilika/inavyokua. Mfano, kuruhusu ongezeko la mtaji.

3.       Unaweza ukawa na katiba ambayo haitoi ulinzi wa kutosha kwa mwanzilishi au waanzilishi (founder/founders) wa kampuni kiasi cha kwamba wageni wanaweza takeover kampuni.

4.       Unaweza ukawa na katiba ambayo haitoi uwanja mpana wa kufanya biashara/kazi kutokana na ufahamu mdogo wa mwandishi.

Kwa hayo na mengine mengi, kwa ushauri na huduma katika masuala ya usajili wa kampuni, NGO, Trade Mark wasiliana nasi. ANJOA COMPANY LIMITED (BUSINESS CONSULTANCY) Pia tunatoa huduma katika masuala ya kuandaa mhesabu, kuandika michanganuo ya biashara, Ushauri na huduma katika kuanzisha na kuendesha taasisi za mikopo (Microfinance) N.k
Tupo Dar es Salaam, Kinondoni- Manyanya, Mtaa wa Togo, Plot no. 336.
Tupigie simu No. 0759-692024 au 0688-510564,
Email: info@anjoa.co.tz au anjoa_limited@yahoo.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments