[wanabidii] Hivi hili DONGE dhidi ya Mapinduzi ni la nini

Monday, January 12, 2015

Wakati maskani nyingi za CCM nilizoziona wiki hii zimepambwa kwa mauwa na uziku wa jana kutawaliwa na sherehe maskani nilizoziona za CUF zilikuwa kimya wala hazina mapambo ya kuadhimisha siku ya ya Mapinduzi ya kuondoa utawala wa KIFALME.

Mambo ya uhakika tunayokumbuka sisi ambao hatukuyaona Mapinduzi ni kuwa Mfalme aliondoshwa bila yeye na familia yake kujeruhiwa na bado anaishi Uingereza kwa AMANI.Tunachkiona kwa ushahidi wa vizazi vya viongozi wa Mapinduzi mfano Karume,Thabit Kombo,Yussuf Himid na wengineo ni kuwa walioa WAARABU kuonesha mapenzi yao ya kuunda UDUGU WA KWELI wa jamii ya Kizanzibari.

Hivi hili DONGE dhidi ya Mapinduzi ni la nini wakati ushahidi wote unaonesha kuwa Mapinduzi yalikuwa ni kwa nia nzuri ya kuwaunganisha Wazanzibari kwa mapenzi ya kweli ya DAMU?


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments