[wanabidii] UNIC YAELIMISHA SIKU YA CHOO KWA VIJANA WALIO NJE YA SHULE

Wednesday, December 24, 2014

Siku ya choo duniani ambayo huadhimishwa tarehe 19 Novemba. UNIC waliadhimisha siku hii kwa kuwakutanisha vijana walioko nje ya shule  tarehe 23 Desemba 2014 kwa lengo la kuwaelimisha na kuwahamasisha  utumiaji wa vyoo ili na wao waweze kuelimisha jamii zinazowazunguka juu ya umuhimu wa kuwa na vyoo.

Tukio hili liliwakutanisha vijana toka vikundi 5:   Azimio Youth Group, Makangarawe Youth Development Fund, Mashine Ya Maji Youth Development Centre,Temneke Youth Development Foundation na Tanzania Youth Development Society. Yafuatayo ni baadhi ya matukio katika picha.

Vijana wakiwa katika makundi kujadili na kuweka mikakati watakavyosaidia  jamii kuhusu utumiaji wa vyoo na usafi wa mazingira.

Afisa Habari wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi.  Usia Nkhoma-Ledama akitoa mada kuhusu siku ya Choo duniani pamoja na umuhimu wa utumiaji vyoo, na kampeni maalumu ya uhamasishaji wa kuwa na vyoo.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Asasi za Vijana Temeke (Temeke Youth Development Network -TEYODEN), Ismail Mnikite akitambulisha vijana waliohudhuria kutoka makundi mbalimbali.

Baada ya majadiliano, vijana wakiwasilisha maazimio na mikakati waliyoyakusudia kufanya ndani ya vikundi vyao katika jamii zinazowaunguka.

KAWAIDA

TOILET DAY 2014 3 blog 1

Vijana wakiwa katika makundi kujadili na kuweka mikakati watakavyosaidia  jamii kuhusu utumiaji wa vyoo na usafi wa mazingira.

TOILOET DAY 2014 4 blog 1

Afisa Habari wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi.  Usia Nkhoma-Ledama akitoa mada kuhusu siku ya Choo duniani pamoja na umuhimu wa utumiaji vyoo, na kampeni maalumu ya uhamasishaji wa kuwa na vyoo.

TOILET DAY 2014 8 blog 2

TOILET DAY 2014 14 blog 2

Mwenyekiti wa Mtandao wa Asasi za Vijana Temeke (Temeke Youth Development Network -TEYODEN), Ismail Mnikite akitambulisha vijana waliohudhuria kutoka makundi mbalimbali.

TOILET DAY 2014 13 blog 2

Baada ya majadiliano, vijana wakiwasilisha maazimio na mikakati waliyoyakusudia kufanya ndani ya vikundi vyao katika jamii zinazowaunguka.

TOILET DAY 2014 25 blog 2

TOILET DAY 2014 19 blog 1

Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,
+255714940992.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments