TAARIFA YA MAAZIMIO CHADEMA KWA KWA VYOMBO VYA HABARI
LEO.
Baadhi ya maazimio ya CHADEMA kuhusu uchaguzi serikali za mitaa
kama yalivyosomwa na Dr. Slaa (Pichani) alipozungumza na
waandishi wa Habari.
¤ Suala la kupita bila kupingwa ni kinyume na Demokrasia na haki
ya msingi ya raia ya kuchagua, hivyo utamaduni huu ufe nakama
ikitokea basi zipigwe KURA za NDIO na HAPANA.
¤ Viongozi wa CHADEMA waliochaguliwa ikigokea wanatuhumiwa
kwa vitendo vya rushwa kamwe chama hakitawavumilia viongozi
hao na tutawachukulia hatua maramoja bila kusita ikiwemo za ndani
ya chama na hata kuwashtaki mahakamani.
¤ Kamati kuu imezitaka mamlaka zinazohusika kuwatambua
mabalozi wa CHADEMA katika masuala yote ambayo yanahitaji wa
ngazi hiyo, ikiwemo utambulisho wa ukazi. Wanachama wa
CHADEMA hawalazimiki kwenda kupata idhini ya mabalozi
wanaotokana na CCM kama ambavyo serikali inataka.
KUHUSU MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015.
Kamati Kuu ya Chama imepokea kwa masikitiko taarifa
zinazoonesha kuwa hadi sasa serikali kupitia Tume ya Taifa ya
Uchaguzi haionekani kujipanga kuweza kufanikisha uchaguzi mkuu
ujao.
Tayari kasoro nyingi ambazo kama hazitafanyiwa kazi zitasababisha
vurugu huko tuendako zimeanza kuonekana kwenye zoezi la
majaribio ya uandikishaji wapiga kura linaloendelea hadi sasa
Kawe,Kilombero, na Mlele.
Akizungumzia vurugu na vifo na kasoro zilizojitokeza katika
uchaguzi huo, Dr. Slaa amewalaumu Waziri mkuu Mh. Pinda na
Waziri wa TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia kuwa ndio chanzo cha
matukio yote katika uchaguzi huo. Hasa kwa kutunga kwao kanuni
mbovu na miongozo katika sheria ya uchaguzi Serikali za mitaa
kanuni ambazo zimepelekea mauji katika baadhi ya maeneo nchoni
hasa kule Nzega kutokea. Hivyo wote hawa wanapaswa kujiuzulu
wenyewe ama wawajibishwe na Mh. Raisi mara moja.
Akiyataja maeneo ya Miji midogo ambayo CHADEMA imeshinda, Dr.
Slaa amesema
"1. Nkasi - Namanyere
2. Hai - Bomang'ombe.
3.Karatu - Karatu.
4. Arumeru Mashariki - Usa river.
5.Vunjo - Ukawa.
6. Mbeya vijijini - Mbalizi.
7. Mbozi Maghari - Tunduma.
8. Mbozi Mashariki - Mlowo.
9. Kyela - Kyela.
10. Lupa - Makongorosi.
11. Busanda - Katoro.
12. Geita - Geita.
13. Chato - Chato.
14. Kwimba - Ngudu.
15. Karagwe - Kayanga.
16. Bukombe - Ushirombo.
17. Sengerema - Sengerema.
18. Tarime - Tarime.
19. Tarime - Sirari mji mdogo.
20. Rorya - Shirati ( 7/2).
21. Bunda - Bunda.
22. Serengeti - Mugumu 10/10 ( CUF 3).
23. Kahama - Kahama.
24. Bariadi - Bariadi ( 49/43).
25. Kilombero - Ifakara.
26. Magu - Magu.
27. Mbozi - Vwawa.
Sehemu zote hizo CCM ndio chama cha upinzani."
Kwa taarifa kamili usiache kutazama ITV saa mbili usiku.
Habari hii imeandaliwa na
Nizzoh Afrika.
-- LEO.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments