[wanabidii] Naomba mkopo wa Tsh. 20,000,000.00

Friday, December 26, 2014


 Napenda kutuma maombi ya mkopo wa Tshs. 20,000,000.00 (milioni ishirini tu) kwa; mabenki,Taasisi za kifedha na watu binafsi ambao wako tayari kuwasiliana na mimi. Mdhumuni ya mkopo ni kwa ajili ya kuongeza mtaji (working capital) kuendesha mradi mkubwa wa M pesa, Tigo pesa, max malipo na Airtel money.Kama nikipata mkopo huu nitakuwa tayari kuurejesha kwa miaka 3, riba ni maelewano. Biashara hii ni endelevu ipo mahali penye wateja wengi na imedumu kwa Muda wa mwaka mmoja. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0784394701.

CHARLES NAZI.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments