[wanabidii] Msaada - Tiba ya Athari za Punyeto

Wednesday, December 10, 2014
Ndugu wanaJamvi,

Natumai mko salama na kila mtu yuko busy na mishemishe za kila siku. Na mimi pia niko na mishemishe za kawaida tu.
Naomba msome hapa aafu kama kuna mtu anaweza saidia basi atoe maelekezo, ushauri, au hata tiba.
Kuna ndugu mmoja (mwanamme) kwa kipindi kirefu tumekuwa tukimpigia kelele aoe (atafute jiko) lakini jamaa akawa na blah blah nyingi. lakini jamaa kwa usiri mkubwa na ujasiri ilibidi anieleze issue. issue yenyewe ni kuwa jamaa alipiga punyeto na ikamwathiri na kwa hiyo hawezi kusimamisha vizuri. Ina maana inakuwa soft na haiwezi kuwa strong kwa ajili ya sex. Kwa maelezo ni kuwa jamaa alienda hospital na akawaona wataalamu wakampa dawa i.e. supplements lakini hazikusaidia kitu. Pia huyu jamaa amekwenda kwa waganga wa jadi mbalimbali ila hajapata suluhu. Sasa jamaa amekata tamaa na anasema ni kama vile ameshamaliza maisha na ana aibu kubwa. nimekuwa namsaidia kutafuta dawa kwa baadhi ya waganga.
Kwa ufupi mpaka sasa ivi jamaa hajapata suluhu na kwa kweli yuko na huzuni kubwa hata kwa monekano.
Sasa kama kuna mtu ana suluhu au hata taarifa ya wapi mtaalamu/mganga anapatikana basi naomba tuwasiliane.

Mrisho

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments