[wanabidii] Matokeo kamili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Monday, December 15, 2014

MBEYA MJINI:

Matokeo kamili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

1. CCM - 77.
2. Chadema - 72.
3. NCCR - 2.

Mitaa 77 + 28( CCM tulipita bila kupingwa) = 105.

Mitaa 2 uchaguzi utafanyika wiki ijayo.
Mitaa hiyo ipo Mwansekwa na Itiji.

Jiji la Mbeya lina jumla ya Mitaa 181.

Asanteni sana Wakazi wa Mbeya Mjini kwa kuendelea kuwa na Imani na CCM.

Chadema ndio Chama kinachotawala Mbeya Mjini kwenye jimbo.

Wamefanya Mikutano mingi almost Mwaka Mzima katika kinachoitwa TOKOMEZA CCM MBEYA MJINI.

Wakaja na hii Operesheni ya nchi nzima DELETE CCM.

Hoja ya Escrow pia imewabeba kwenye kampeni zao.

Mchakato mzima wa Uchaguzi hapa Mbeya Mjini ulitawaliwa na Siasa za ustaarabu kikubwa ni AMANI NA UTULIVU.

UCHAGUZI UMEKWISHA Sasa tushirikiane katika kuiletea Mbeya Maendeleo.

MUNGU IBARIKI MBEYA MJINI!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments