[wanabidii] Kamanda Mpinga apokea stika za Usalama Barabarani

Friday, December 12, 2014
Kamanda Mpinga apokea stika za Usalama Barabarani

[caption id="attachment_53988" align="aligncenter" width="631"]<img class="size-full wp-image-53988" alt="Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa (kulia) akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB). " src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_01251.jpg" width="631" height="480" /> Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa (kulia) akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB).[/caption]
[caption id="attachment_53989" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-53989" alt="Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akibandika kwenye basi moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB. Pembeni yake ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga. " src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0114.jpg" width="640" height="427" /> Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akibandika kwenye basi moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB. Pembeni yake ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga.[/caption]
[caption id="attachment_53986" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-53986" alt="Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga akibandika kwenye basi moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0112.jpg" width="640" height="427" /> Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga akibandika kwenye basi moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB.[/caption]

[caption id="attachment_53987" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-53987" alt="Zoezi la utoa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB kwenye mabasi ya abiria likiengelea." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0123.jpg" width="640" height="433" /> Zoezi la utoa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB kwenye mabasi ya abiria likiengelea.[/caption]

[caption id="attachment_53990" align="aligncenter" width="599"]<img class="size-full wp-image-53990" alt="Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga akizungumza na wanahabari leo mara baada ya kupokea msaada wa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB). " src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0045.jpg" width="599" height="480" /> Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga akizungumza na wanahabari leo mara baada ya kupokea msaada wa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB).[/caption]

[caption id="attachment_53991" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-53991" alt="Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga (kulia) akiiangalia moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB kwenye mabasi ya abiria, akiwa pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania walioshiriki katika hafla" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0028.jpg" width="640" height="413" /> Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga (kulia) akiiangalia moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB kwenye mabasi ya abiria, akiwa pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania walioshiriki katika hafla[/caption]

[caption id="attachment_53992" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-53992" alt="Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni, Mkaguzi wa Polisi, Awadhi Haji akizungumza na wanahabari leo katika zoezi la utoaji wa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB). " src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0024.jpg" width="640" height="453" /> Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni, Mkaguzi wa Polisi, Awadhi Haji akizungumza na wanahabari leo katika zoezi la utoaji wa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB).[/caption]

[caption id="attachment_53993" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-53993" alt="Zoezi la utoa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB kwenye mabasi ya abiria likiengelea." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0013.jpg" width="640" height="432" /> Zoezi la utoa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB kwenye mabasi ya abiria likiengelea.[/caption]

<img class="aligncenter size-full wp-image-53994" alt="Benki ya Posta Yakabidhi Stika za Usalama Barabarani" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0053.jpg" width="596" height="480" />
<strong>*Imeandaliwa na www.thehabari.com</strong>

__________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments