[Mabadiliko] WATANI MLIMPOKEA KWA MATARUMBETA KARUDI KIMYA KIMYA

Tuesday, December 16, 2014
Kwenu Yebo yebo

Mbona  mnajazba ya bao tano.  hata maximo kashindwa  kweli  timu yenu  ni sawa na mawe.  hata ukichemsha  hayalainiki. Poleni  viwili tu  vyatosha. Manji  ndio shida  timua  huyo au mnaogopa pesa zake  nakusubiri kwa ligi  nakupiga tena 5 na mholanzi  sijui utamfukuza  tena

wenu  mtani wa jadi

--
XAVERY  LANGA KAPECHA NJOVU

0783 662681

" Smooth seas don't make skilful sailors. "

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAAPXYOLnAHXE_2XccOM-X9LjS4u%3Df-wZMSnn4%2BM_TqMbRa62uw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments