Wakuu, leo saa 3.47 asubuhi nimetumiwa text message kwenye simu yangu ya mkononi kutoka namba +255784414915 inayosema: "NOKIA.UK PROMO. Your Mobile No Just Won 415,000GBP Ref No.: NK101 For Claims: Email your Name, Number& Age To nokia-uktlecom@live.com & Call +447937463661.
Mimi nadhani hawa ndio wale wale wa mambo yetu yale. Nimemsaka na kugundua kuwa amesajili simu hiyo kwa jina la Mutembei Antony.
How do I get hold of him?
Phenomenology of Meaning: It is not what you say, but why do you say that

0 Comments