Wana Jukwaa,
Kama walivyo Watanzania wengine na mimi pia nlishow interest kidogo katika uchaguzi huu mdogo uliopita na mahala pengine ukiwa umesitishwa ukisubiri kufanyika tena na ni katika hekaheka hii nimegundua kuwa UKAWA HAWAJAUNGANA KABISAA...
■ Katika maisha sipendi kuwa mnafiki, Nakusihi nawe Mwanajukwaa mwenzangu usipende kuwa mnafiki. MUNGU anasema katika maandiko kuwa Unafiki ni hatari zaidi kuliko hata kuuwa ( just imagine )
Nilitarajia kabisa kuwa kwa CCM kulegeza uzi katika kutotoa majibu ( ya kero na issues mbalimbali ) waliyokuwa Watanzania wanayataka / wanayapenda kuyasikia on time ndio tatizo la baadhi ya Vyama katika UKAWA kupata walau vijikura katika baadhi ya mitaa but when comparison are made bado CCM wanaongoza kwa zaidi ya km 1200 katika safari hii ya siasa za Tanzania
Uchaguzi wowoote wa kutaka kwenda kushika dola kuanzia kwenye hizi chaguzi ndogo mpaka ile ya mwakani pia zinatoa signs nani atapata ruzuku kubwa kumshinda mwingine kule kwa msajili hakuna chama kinachoitwa UKAWA hata pale BRELA hakunaa......ni katika muktadha huu nimeona hapa kuna Unafiki mkubwa sanaa wa hawa jamaa hasa CHADEMA kwa kushindwa kuwaachia wenzao nao wang'are kidogo badala yake wao wamekaba mwanzo mwisho kuchukua majiviti yalee....
■ Tusiwe wanafiki ni wapi hapa Tanzania ambako hawakijui Chama cha NCCR - Mageuzi, CUF , CHADEMA na hata ACT - Tanzania ? Lakini jamaa wa Kinondoni wamewabania wenzao hata kwenye maeneo ambayo wao wangeacha tu kuweka mtu ili kura zisigawanywe bure na kufanya CCM ishinde ! Mfano Magomeni.
■■ Kwenye hili UKAWA bado hawajaunganaa ! Na wala asije mtu hapa akasema huu ni upotoshaji. Hakuna.... Akiwa sio mnafiki ataongea kweli ! Tazama maeneo yoote ambayo wanajidai ati UKAWA wamechukua ni CHADEMA kwa zaidi ya 88 %
Nimetimiza wajibu wangu wa kusema UKWELI aje na mwingine !
Hamis,
Sent from Samsung Galaxy S 4
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPK8CpNQEdS-MU9zpihDN-V%2BmpHC0p%2BBeJWkK7xnSnwK37xG8g%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments