[Mabadiliko] Kwanini Viongozi wetu Tanzania hawapendi/hawataki kuwajibika?

Wednesday, December 03, 2014
Wandugu, tukianzia na sakata la ESCROW wengine mataleta masakata mengine lakini hili ni muhimu kwani ni Current issues.

Tuanze na Prof Muhongo.
Tunaweza tusiwe na uthibitisho kuwa amekula pesa juu ya hili lakini je Hajalidanganya bunge na Taifa kwa ujumla? Je hii haitoshi kwa yeye kuchukua maamuzi?
Ni ni hasa?

Werema Inasadikiwa kuwa alitoa ushauri mbaya kusamehe kodi je hili halitoshi kwake kuwajibika?

Tujadili 

Najua hili tatizo lipo africa kwa ujumla nashauri tujikite hapa kwetu kwanza.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACChgVSXOnWAhUbvC7cnC10JKLfp1UUVJpLv3%2BXggB2JYSNxbw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments