[Mabadiliko] Kauli za bunge la escrow ambazo hatutaweza kuzisaha

Monday, December 01, 2014

JF

Hakuna wakati ambao Tanzania ilivunja rekodi kwa uwingi wa watu kufuatilia Bunge kama hili sakata la skendo ya ESROW. Watu walifuatilia ktk TV,radio na hata ktk mitandao
Kuna michango mingi ilitolewa ya wabunge ilikuwa ya busara, vituko,kejeli nk..Kuna misemo ambayo imeiweka Bunge hilo ambayo binafsi na wengine hatutaweza kusahau..hapa chini ni baadhi ya matamko mbalimbali ninayoikumbuka. Kama unayoyo misemo ambayo nimeisahau...jalibu kutupia hapa

Zitto ..."serikali ilipata ganzi na ikagandishwa"
Lusinde:..." unadhani kujiudhuru ni jambo dogo"
Lusinde"Leo mnasimama hapa awajibike awajibike, wewe umewahi kuwajibika? unadhani kuwjaibika mchezo?"
Lusinde:" Mzee Pinda we nenda na kimya kimya yako hadi Mungu atakapokujalia. Habari ya kukutoa hapa haipo."
Lusinde:" Mnasema fedha sio serikali sasa kama fedha sio za serikali tangu lini CAG akakagua fedha zisizokuwa za serikali."usinde;.."unanibania pua....mimi siyawezi...nimekatazwa
Ole SendekLa;.."Profesa Muhongo anajua miamba na sio mambo ya juu" 
Filiko Njombe; ..."Hakuna profesa muongo kama profesa Muhongo"
Asumpta; "PAC ni ya UKAWA"
Mpina"Ni bahati mbaya tuna Profesa muongo kama Muhongo ambaye ni Waziri wa Nishati na Madini"
Zitto: "Nimekuwa na mgogoro na chama changu lkn kwenye hili wameniunga mkono, kwa mara ya kwanza nimehudhuria kikao cha UKAWA"
Kigwalagwala;..."sijawahi kumwona profesa muongo kama Muhongo"
Zitto: "Naomba wanaonishughulikia wanishughulikie mimi; mwacheni mamangu apumzike"
Mwandosya ;.."serikali tukubali na tujirekebishe na tujifunze"
Kafulila: "Tusiache kujadili kifo cha Waziri Mgimwa kisa mwanae hataki; kuna siku Rais atakufa na mwanae atataka tusichunguze"
Zitto;..."mimi ni mwanasiasa na nina ngozi ngumu"
Makinda;..."wasio soma sheria ndio wanaopiga kelele"
Makinda;..." sitakikusikiliza waswahili"
Makinda;..."leo mpaka kibuyu cha Escrow kivunjike"

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACChgVTQZZLt%2BjD_6gb__zyWMW%3DmXFe5VPg2guXR_j8JAeDmEQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments