[Mabadiliko] Account za watu zimeingiliwa na fedha kuibwa NBC

Wednesday, December 03, 2014
Wandugu, mwenye account ya NBC tafadhali angalia salio lako, hali ni mbaya hasa atwi la UDSM, Ubungo. Jana watu wengi walikuta pesa zao zimetolewa kuanzia tar 29 nov. Malalamiko yalikuwa kibao pale mlimani.


--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACChgVTH4h%2Bfu9XT1trXeZWoQFBHR6zRnZeAMn8rkZo2ajoX9g%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments