[wanabidii] SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WANAFUNZI WA VYUO NA SEKONDARI BILA MALIPO

Friday, November 14, 2014

CPM Business Consultants tunakaribisha maombi ya Vyuo vya elimu ya juu na Shule za sekondari ambazo zinapenda kuwezeshwa kuendesha semina ya ujasiriamali kwa wanafunzi bila malipo yoyote. Umuhimu wa semina hiyo ni kuwasaidia vijana wetu kubadilisha fikra na kuwa na malengo ya kujiajiri badala ya kuajiriwa baada ya kumaliza masomo yao.Semina hiyo itaendeshwa kwenye Chuo au shule husika, Katika semina hiyo vitabu vya ujasiriamali vitauzwa. Mwezeshaji ni Charles Nazi Mshauri wa biashara na Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara, Mada zitakazofundishwa ni;
1. Siri ya Utajiri, kwa nini watu wengine ni masikini na wengine matajiri.
2. Namna ya kuanzisha biashara.
3. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara.
4. Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara.
5. Maswali na majibu.
Kwa wale ambao watahitaji huduma hii wapige simu au watume ujumbe kwenye simu namba 0784394701 au 0755394701

CHARLES NAZI
MKURUGENZI CPMBUSINESS CONSULTANTS

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments