[wanabidii] Sababu za kupungua nguvu za kiume

Saturday, November 08, 2014
Sababu za kupungua nguvu za kiume na matibabu ya uhakika.
JE, UNA TATIZO? USIHANGAIKE SASA.
LIFE HERBAL CLINIC & RESEARCH [0766431675]
Sababu za kupungua nguvu za kiume na tiba

Image
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea katika kutibu upungunfu wa nguvu za kiume.
Karibu sana ndugu mpendwa, katika makala hii ya leo, nakuletea SABABU ZA KUPUNGUA NGUVU ZA KIUME NA MATIBABU YAKE.

Kwanza tufahamu "NGUVU ZA KIUME NI NINI?"

Ndugu mpendwa, nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake, ikiwa ni pamoja na:

1. Hamu ya mapenzi
2. Kusimama vizuri kwa uume
3. Kuchelewa kufika kileleni kwa muda mzuri
4. Uwezo wa kurudia tendo la ndoa

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa kubwa sana katika zama hizi. Sio Tanzania tu, bali duniani kote!

Kwa nini limekuwa kubwa?

Maisha tunayoishi, vyakula tunavyokula, na mazingira yetu yaliyotuzunguka ndiyo chanzo kikubwa cha sababu za kupungua nguvu za kiume.

PIA UNAWEZA KUANGALIZA VIDEO HII KUPITIA YOUTUBE. BOFYA HAPA.

NI NINI MAANA YA KUPUNGUA NGUVU ZA KIUME?

Kitu cha kwanza anachopaswa kufahamu mwanaume yeyote ni kwamba, "Kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa ni dalili ya ugonjwa."

Hii ni kwamba, mwanaume anapopungukiwa nguvu za kiume ina maana ndani ya mwili wake kuna dosari za kiutendaji katika baadhi ya viungo vinavyoshugulika na nguvu za kiume.

Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo vingi ndani ya mwili. Baadhi ya viungo vikiwa vinashughulika moja kwa moja tu na nguvu za kiume, huku viungo vingine vikishughulika na nguvu za kiume na kazi zingine za mwili.

Viungo vinavyoshughulika na nguvu za kiume mwilini kwa ujumla ni zaidi ya 30. Baadhi ya viungo hivyo ni ubongo; moyo; ini, figo; tezidume [prostate gland]; uti wa mgongo; eneo la chini ya mgongo [kiuno].

Viungo vingine ni mishipa ya ateri; mishipa ya neva; mishipa ya vena; mirija iliyo ndani ya uume iitwayo corpora carvenosa; misuli maalumu iitwayo pelvic floor muscles; misuli iitwayo pubococcygeus [PC muscles].

Viungo vingine ni tezi ya pituitari [pituitary gland]; tezi dundumio [thyroid gland]; utando maalumu ndani ya uume uitwao tunica albuginea; homoni mbalimbali na kemikali zikiwemo testestorone, serotinin, acetychlorine, dopamine; kemikali ya nitric oxide, kemikali ya prolactin; neva za parasympathetic na sympathetic, n.k. Orodha ni ndefu sana.

PIA UNAWEZA KUANGALIZA VIDEO HII KUPITIA YOUTUBE. BOFYA HAPA.

Kwa hiyo unapopungua nguvu za kiume, ina maana ndani ya mwili wako, kuna baadhi ya viungo katika viungo nilivyovitaja hapo juu havifanyi kazi vizuri. Yawezekana ikawa ni figo, au moyo, au ini, au mishipa ya ateri au mishipa ya neva, au kuna tatizo la homoni na kemikali [hormonal imbalace].

Au yawezekana ni misuli ya pelvic ndiyo haifanyi kazi vizuri, au neva za parasympathetic, au tezidume [prostate gland] n.k.

Kwa hiyo kama vitu hivyo havifanyi kazi vyema hapo utamwona mwanaume anaanza kupungua nguvu za kiume. Upungufu huo unaweza kuonekana katika maeneo yafuatayo:

1. Kukosa hamu ya mapenzi, au
2. Kuwahi kufika haraka kileleni, au
3. Kuchelewa sana kufika kileleni, au
4. Kushindwa kabisa kufika kileleni, au
5. Uume kusimama kwa uregevu, au
6. Kushindwa kurudia tendo la ndoa, au
7. Kuchoka sana baada ya mapenzi, au
8. Kuhisi maumivu wakati wa mapenzi au baada ya mapenzi.


Kwa mfano rahisi zaidi, nguvu za kiume ni wa ajabu sana. Mfano wake ni zaidi ya kiwanda. Ndani ya kiwanda kuna madawa, umeme, maji, wafanyakazi wa kila taaluma na fani, mashine na mitambo n.k.

Ikitokea kitu kimojawapo kukosekana, mathalani, maji yakakosekana, umeme, mitambo ikawa mibovu au wafanyakazi wakagoma na kadha wakadha, basi bidhaa inayotarajiwa kupatika sokoni haitapatikana.

Vivyo hivyo, nguvu za kiume, mathalani ikitokea tezidume [prostate gland] kutofanya kazi vizuri, hapo mwanaume nguvu zake za kiume zitapungua au kuteketea kabisa kutegemea uzito wa tatizo.

Kwa hiyo upungufu wa nguvu za kiume ni upungufu wa kasoro za utendaji wa baaadhi ya viungo ndani ya mwili vinavyoshughulika na nguvu za kiume.

NI NINI KINACHOPELEKEA VIUNGO VINAVYOSHUGHULIKA NA NGUVU ZA KIUME VISHINDWE KUFANYA KAZI?

Kuna sababu zaidi ya 200 zinazoweza kusababisha viungo vinavyohusika na nguvu za kiume kupata dosari za kiutendaji na hivyo kupelekea mwanaume kupungukiwa nguvu za kiume. Hii ikiwa ni pamoja na baadhi ya maradhi, tabia na matindo wa maisha tunaoishi.

Baadhi yake ikiwa kujichua au kupiga punyeto [masturbation], kisukari, presha ya kupanda, presha ya kushuka, uvutaji wa sigara, unywaji wa pombe, madawa ya kulevya, kufanya kazi kupita kiwango na kukosa muda wa kupumzika, matatizo ya usingizi na kuchelewa kulala usiku.

PIA UNAWEZA KUANGALIZA VIDEO HII KUPITIA YOUTUBE. BOFYA HAPA.

Sababu zingine ni kutokunywa maji ya kutosha, tatizo la kufunga choo hasa pale hasa pale unapotumia nguvu nyingi kusukuma choo, kutofanya mazoezi, matatizo ya kukosa kumbukumbu.

Sababu nyingie ni uzito mkubwa kupita kiasi, kuvimba kwa tezidume [Benign Prostate Hypeplasia], saratani ya tezidume [Prostate cancer], matibabu ya mionzi na upasuaji wa tezidume]; ugonjwa unaoathiri vitendo na shughuli za mwili kama vile mwondoka na balansi [multiple sclerosis], vyakula vya mafuta mengi, vyakula vilivyotiwa homoni bandia, n.k.

Sababu zingie ni maumivu ya mgongo au kiuno, baadhi ya madawa ya kemikali [madawa ya hospitali], kiharusi [stroke], upungufu katika utendaji kazi za gonadi [hypoganidism], uzalishaji mwingi wa homonu ya thyroid, kutozalishwa kwa homoni ya thyroid ya kutosha, ugonjwa unaoathiri uzalishaji wa homoni ya cortisol, ugonjwa wa kupinda uume, kukakamaa kwa mishipa ya ateri, madawa ya tibakemikali ya kuongeza nguvu za kiume, msongo wa mawazo, ngiri [hernia] n.k. Orodha ni ndefu sana.


Hivyo, unapotibu nguvu za kiume sharti chanzo cha tatizo kifahamike na kitibiwe kwanza. Ni kosa kubwa kukurupuka kubugia dawa.

Je, unavifahamu viungo vinavyoshgulika na nguvu za kiume? Je, unajua ni sababu zipi zinaweza kusababisha viungo kutofanya kazi vyema? Je, wajua unavyotakiwa kujitibu. Je, ungependa kujua haya? Ni rahisi!
BOFYA HAPA.

JE, WEWE NI MWANAUME AMBAYE UNA TATIZO LA KUPUNGUA NGUVU ZA KIUME?

Usihangaike! Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea katika matibabu ya nguvu za kiume kwa tiba asilia. Anatibu kuanzia chanzo cha tatizo, na anakutibu mpaka tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu ya uhakika wala siyo ya kubahatisha. Kwa maelezo zaidi,
BOFYA HAPA.

Au fika katika cliniki yake iliyo hapa jijini Mwanza, mtaa Nkurumah karibu na Deluxe Hotel, katika jengo la Makune Trade Centre, ghorofa ya kwanza.

Au piga simu:

O766431675/au 0656620725

Kwa wagonjwa wa mbali na Mwanza, wanapata tiba bila shida yoyote. Tunafanya nao mahojiano kwa njia ya simu ili kupata picha ya awali juu ya sababu ya kupungua kwake nguvu za kiume.

Pia tunaweza kuwashauri kufanya vipimo kwenye hospitali yoyote alipo pale tutakapoona kuna umuhimu wa kufanya hivyo.

Tunatuma dawa mahala popote mtu alipo, na zitamfikia mpaka mlangoni, hata kama yuko nje ya nchi.

Wasiliana nasi kwa simu:

O766431675/au 0656620725


E-MAIL: khamisiibra@gmail.com

MATIBABU YETU:

MATIBABU YETU NI YA UHAKIKA, SISI HATUUZI DAWA. TUNAFANYA MATIBABU. DAWA ZETU NI ASILIA. ZINATOKANA NA MATUNDA NA MIMEA TIBA. HIVYO HAZINA MADHARA YOYOTE KWA MTUMIAJI. TUNAPOTIBU NGUVU ZA KIUME, INA MAANA KWANZA TUNATIBU MAGONJWA AMBAYO NI SABABU YA TATIZO. HIVYO, TUNATIBU AFYA KWA UJUMLA.NA TUNATOA USHAURI WA KITAALAMU JUU YA AFYA YAKO.

UNAWEZA KUPATA MAELEZO YA KINA ZAIDI KUPITIA TOVUTI YETU JUU YA TATIZO LA KUPUNGUA NGUVUZA KIUME NA MATIBABU YETU. BOFYA HAPA.

PIA UNAWEZA KUANGALIZA VIDEO HII KUPITIA YOUTUBE. BOFYA HAPA.

AHSANTE SANA NA KARIBU SANA. NJOO UONE TOFAUTI YETU NA WENGINE
If you no longer wish to receive mail from us, you can unsubscribe
LIFE CLINIC, 10051 , MWANZA, 255

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments