[wanabidii] KAMPUNI YA IPTL YAFUNGUA SHAURI MAHAKAMA KUU

Tuesday, November 25, 2014
Kampuni ya IPTL imefungua shauri mahakama kuu na haya ni mambo wanayolalamika .

1 - wanataka tafsiri ya kwanini CAG amewakagua ( Uhalali )

2 - Kwamba wao hawana muwakilishi bungeni wa kuwasemea na kujibu mashambulizi yanayotolewa dhidi yao .

3 - Baadhi ya viongozi kuanzia mwanasheria mkuu , waziri mkuu kama wasimamizi wakuu wa shuguli za serikali bungeni wameshindwa kusimamia suala hilo bungeni hata maeneo mengine kwa makusudi huku wakijua IPTL ni kampuni huru , inauwezo wa kumlipa mtu au kundi lolote la watu .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments