[wanabidii] FACEBOOK YASABABISHA MAUAJI YA WADADA 2

Friday, November 21, 2014
Samahani Kwa Picha hapo Juu. Wanze Makongoro ni ndugu wa rafiki yangu mmoja humu facebook.

Siku ya tarehe 15 mwezi huu Wanze na mwenzake salha alipanga kukutana na rafiki yake aliyekutana nae humu facebook pale Mlimani City. Hawakuwa wamewahi kuonana tangu walipokutana facebook na mara zote huyo rafiki yake alikuwa anamsisitiza waonane.

Alipokwenda kuonana nae hakuweza kupatikana tena mpaka leo ndugu zake walipopigiwa simu leo kwenda muhimbili na kukuta ndugu yao amefariki. 

Ndugu zake wamejulishwa salha nae amekutwa amefariki 

Haijajulikana moja kwa moja kama kifo chake kinahusianishwa na appointment ya rafikiye wa facebook.

Lakini mmoja wa ndugu zake anasema walipokea ujumbe kutoka kwa wanze kwamba wanahisi wametekwa na watu waliokutana nao kwa sababu walikua wanaelekea porini badala ya Kiwanja kama walivyokubaliana .

 


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments