Rasimu ya Warioba kama ilivyo ile ya CCM zote zimetaka uwepo wa wawakilishi wawili kwa kila jimbo, yaani mwakilishi mwanamke na mwakilishi mwanaume. Hawa wote watagombea na kuchaguliwa.
Hoja yangu: Nini mantiki ya utaratibu huu? Je hatuoni ni kuongeza gharama tu kwa nchi masikini kuwa na wawakilishi wawili toka sehemu moja eti kwa kisingizio cha jinsia?
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAGFQo2Qac-SGDk9coYN2o0F-ZJ%2BRPgUEVeMbOUNZ4VPEEX7acQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments