Wandugu, tumesikia mengi kuhusu katiba inayopendekezwa na tunaendela kujadili...sasa niwaombe mpendekeze swali ambalo wananchi wataulizwa kuhusu katiba inayopndekezwa ili waseme NDIO au HAPANA, tayari nimemsikia Nape akiwauliza wananchi kijiji fulani "mnataka Katiba au Maji?" wakilogwa waweke swali la aina hii imekula!
-- Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMcDKfJnte_e9c-Z%2BPCEDDiZ7wBvmDhPAZpO%2BFVbP0G78ocxdA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments