[Mabadiliko] Sunday Mrema apumzike kwa amani.

Saturday, November 22, 2014

Alikuwa na uzito wa kg 250. Makampuni yote ya ndege yalikataa kumsafirisha kwenda India kupata matatibabu kwa sababu ya uzito wake.

Hata serikali haikuona umuhimu wa kuokoa maisha ya mtu huyu. Lakini wakubwa hata ugonjwa wa kutibiwa kituo cha afya wanapelekwa Ulaya.

Hakika hii dunia sio sawa.

Pumzika kwa Amani Sunday Mrema.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAJsbJR0hNUHCHvYereaZGmeaW3LcxH6yx_Vc-qaVmFvdbrtYKQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments