[Mabadiliko] Kwenu Wabunge Wetu:Matawi ya Mwiba yasipotoka kateni Mti Mzima

Thursday, November 27, 2014

JF

GreaTthinkers,

Tumeshachoka kudanganywa, Tumeshachoka kupotezewa muda, Tumeshachoka kuibiwa.

Wanaingia mikataba mibovu ili baadae jasho letu waligawane

Mkataba gani Eti hata kama hawakutoa Umeme kwa Mwezi walipwe mil 4000 Tsh? Wakizalisha Mil 8000Tsh?

Kwanza kwa nini, bado hawako rumande hadi saivi? Kupewa mil 1600 Tsh Eti zawadi, umegawa nini kwa Ruge wewe?

Mikataba yote hii,Maandamano ya Amani Nchi Nzima

  • Nchi inadidimia,
  • madawa hakuna hospitali,
  • vijana wanakosa mikopo,
  • Wananchi wa Kigamboni wanalia,

Wapuuzi wachache Eti wanasema sio hela zetu,

  • Nani anakatwa kodi kulipa IPTL?
  • Nani kabebeshwa mkataba wa kihuni wa IPTL???


Ombi langu, na ndio tegemeo lililobaki.

Wasipoeleweka, Kateni mti kabisa ------ nae atembee tu.

Wanajidai Eti Siri za serikali, Wizi Mtupu.

Hawa Jamaa ingekuwa China..........Malizia mwenyewe

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACChgVQQ16MtNjnYwxBhU1bZnau8zpJqMfyUQjJz8mjHBPi_gg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments