[wanabidii] UTAPELI WA ESKOM WAINGIA TANZANIA

Wednesday, October 15, 2014
Nimejulishwa kwamba eti Kuna watu 3 au 4 wanapita majumbani wakidai wanatoka kampuni ya maji wamekuja kuweka bomba ya mvua ili kuokoa upotevu wa maji au watadai wanatoka Eskom au sehemu kama hizo wanabadilisha balbu bure. Wameonekana sehemu nyingi. USIWARUHUSU kuingia ndani ni wezi majambazi wa kutumia bunduki. Wataarifu wote kwenye kitabu chako cha simu kwani unaweza kuokoa maisha yao. Hakikisha milango na madirisha umefunga na usiwaruhusu watoto kuwafungulia wageni wasiowajua.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments