[wanabidii] NYERERE NA KUUZWA NBC

Tuesday, October 21, 2014

NYERERE NA KUUZWA NBC.
.Nyerere alipowauliza kwanini mnataka kuuza NBC, serikali walimjibu ni World bank wamewaagiza hivo. Nyerere alimwagiza katibu wake ampigie simu Rais wa WB iliajurishwe ikiwa wao ndio wametoa masharti hayo. Rais wa WB alikataa ma kuomba Nyerere aendee Washington headquarters za WB kuna nyaraka za serikali ya TZ juu ya NBC. Ndani ya siku 2 Nyerere alikuwa tayari Washington headquarters baada ya kikao na Rais wa WB alirudi Tz akamuita Daniel Yona wazari fedha, Idris Rashid BOT Gavana na Katibu mkuu wa wizara fedha ambao wote walikataa kuonana na Nyerere. Director wa NBC ndiye alieonana na Nyerere na kumueleza kuwa NBC ikiuzwa itakuwa na athari kubwa kwa taifa. Nyerere alienda kukutana na Rais Mkapa.... Baada ya majadiliano ndipo ilikubaliwa izaliwe NMB na badae yule Director wa NBC Donald Kamori akapigwa chini udirector na kupelekwa BOT bila kupewa kazi yeyote ambapo aliamua kuacha kazi kwa hasira...

©RAIA MWEMA, 2014.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments