KIBAHA, BAGAMOYO, KILWA NA KIGAMBONI?!
SURETY PROPERTIES CO LIMITED
WANAWEZA KUMALIZA HAJA YAKO
FAIDA YAKE
Mteja atatafutiwa hati ya umiliki baada ya malipo
Mteja atalipia kidogo kidogo
Hakuna gharama za udalali
Mteja atapelekwa meneo ya viwanja bure
Kampuni inesajiliwa na serikali
KIBAHA
Viwanja vipo km 4 kutoka barabara kuu. Ni karibu na kiwanda cha C4X cha kusafisha madini, oil refinery, sunshine gypsum, Hong yu-kiwanda cha steal (nondo), Bakhresa-kiwanda cha biskuti pia ni karibu na eneo kitakapojengwa chuo cha Kodi (TRA).
BAGAMOYO
Viwanja vipo eneo la kitopeni, ni 2km kutoka barabara kuu. Bagamoyo ni mji unaokua kwa kasi na spidi yake inaongezwa na bandari kubwa inayojengwa maeneo ya karibu na viwanja vyetu.
KILWA
Kiwanja cha kilwa ni beach ambayo ipo pembezoni mwa bahari ya hindi. Eneo la kilwa ni hekari 18. Kilwa pia ni mji wa kihistoria pia ni mji unaokuwa kwa kasi kubwa na kasi yake inaongezwa na machimbo makubwa ya gesi.
KIGAMBONI
Viwanja vya bagamoyo vipo karibu na umeme pamoja na maji. Kigamboni ni sehemu ambayo ina kasi kubwa ya maendeleo, daraja linalojengwa linarahisisha kufikika kiurahisi na ni mji mpya
Ofisi ipo Posta mpya karibu na mnara wa Askari, Jengo la IPS gorofa ya 10
Kwa mawasiliano zaidi tumia Simu: +255 752508566; +255 715051579; +255 688695854
ARDHI NI URITHI WETU, TUPANGE MATUMIZI YAKE
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments