[wanabidii] WAJIBU WA WANANCHI KATIKA KUZUIA UHALIFU

Monday, September 08, 2014

WAJIBU WA WANANCHI KATIKA KUZUIA UHALIFU

• Ukiona uhalifu unatendeka toa taarifa mapema katika kituo cha Polisi au polisi aliye karibu nawe.
• Endapo utamtilia shaka mtu au watu usiowajua toa taarifa mapema katika vituo vya Polisi,polisi wasaidizi(auxiliary police),walinzi wa amani au ofisi ya serikali ya mtaa/kijiji
• Usalama wa vyombo vya usafiri kwenye maegesho, kumbuka kufunga pikipiki au baiskeri kwa mnyororo, kuweka alamu katika magari,kuondoa vitu vya thamani ndani ya gari 
• Kuwa na zizi imara la mifugo ili kuzuia wezi na kuiweka mifugo alama
• Kuepuka kusafiri na kiwango kikubwa cha fedha na vitu vyenye thamani
• Kujenga tabia ya kuweka alama kwenye vitu
• Kutoacha vitu vya thamani katika sehemu za wazi. Hata kama ni ndani ya nyumba vitu vya thamani vifungiwe ndani ya kabati au stoo.
HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI
• Kusimamia sheria na kanuni za usalama barabarani mfano kudhibiti mwendo kasi, n.k
• Kuthibitisha wanaostahili kupewa leseni za udereva 
• Ukaguzi wa magari na madereva 
• Kuongoza magari barabarani yaende kwa mtiririko unaostahili

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments