[wanabidii] WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA TIGO TANZANIA WAGOMA

Friday, September 12, 2014

Habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa ofisi za TIGO Mlimani city zimefungwa kutokana na wafanyakazi wa ofisi hizo, kucheleweshewa mshahara wao, watu wamejazana nje.
Wafanyakazi hao wa TIGO wamekataa kufanya kazi mpaka watakapo lipwa mishahara yao.

Lawama zinawaendea kampuni ya NFT kuwa wao ndo hawajatoa hela, hivyo kusababisha huduma kufungwa.
Habari zinasema hii kampuni ya NFT ina kawaida ya kuwacheleweshea mishahara wafanyakazi wao, wanatoa mishahara wanapojisikia.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments