Kuna habari nimeziata mchana huu kuwa wazir wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Benard Membe ana uraia wa canada.nimeshangaa sna kusikia hili kwani sasa nimeamini
kwamba iko siku tutachaguwa raia wa palestina kuwa rais wa nchi hii,naombeni kwa mlio na uhakika na hili mtupe fasta,wengine wanaotajwa kuwa na uraia wa nchi mbili ni lazaro nyalandu na kigwangwala,kwa anaye juwa vizuri kuhusu habar hizi tunaomba afunguke tuwafaham wasaliti wa Tz
-- kwamba iko siku tutachaguwa raia wa palestina kuwa rais wa nchi hii,naombeni kwa mlio na uhakika na hili mtupe fasta,wengine wanaotajwa kuwa na uraia wa nchi mbili ni lazaro nyalandu na kigwangwala,kwa anaye juwa vizuri kuhusu habar hizi tunaomba afunguke tuwafaham wasaliti wa Tz
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments