Wakati mh Zainabu Vulu akichangia Mjadala wa Katiba Mpya kwenye Bunge Maalumu kuhusu, Garama za Kuihudumia Mahakama ya Kadhi, alisema ya Kwamba, Mahakama ya Kadhi haitahitaji Kuhudumiwa na Serikali kwa Sabb Moja ya Vyanzo Vikuu vya Mapato ya Serikali Vinatokana na Pombe hivyo, Kwa kuwa Mahakama hiyo ni ya Kidini, haitahitaji kuhudumiwa na Fedha zinazotokana na Pombe.
Swali langu sasa ni Je!
Hivi Uislam, Ni Msikiti kwa Mahana ya Sehemu ya Kuswalia, Sheria za Kiimani, kwa Maana ya Misingi ya Kidini au, Uislamu ni Watu kwa Maana ya Jamii inayoabudu Kwenye Imani hiyo?
je! Kwanini mnakubali kuhudumiwa na Fedha za Serikali ambayo, Mapato yake makubwa yanatokana na Pombe na Sigara?
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments