TAARIFA KWA UMMA
RATIBA YA TUME YA RAIS YA UCHUNGUZI WA OPERESHENI TOKOMEZA UJANGILI KUTEMBELEA MIKOA YA KIGOMA, KATAVI, RUKWA NA MBEYA
_________________
Tume inatoa taarifa kwa Umma kuwa itatembelea Mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili kuanzia tarehe 17/9/2014 mpaka 6/10/2014 kama ratiba inavyoonesha:-
Na. Tarehe Mkoa/Wilaya
1. Jumatano 17/9/2014 Kigoma
Alhamisi 18/9/2014 Kibondo
Ijumaa 19/9/2014 Kibondo
Jumamosi 20/9/2014 Kasulu
2. Jumatatu 22/9/2014 Kasulu
Jumanne 23/9/2014 Uvinza
Jumatano 24/9/2014 Uvinza
3. Alhamisi 25/9/2014 Mpanda
Ijumaa 26/9/2014 Mpanda
Jumamosi 27/9/2014 Mpanda
4. Jumapili 28/9/2014
Jumatatu 29/9/2014 Sumbawanga
Jumanne 30/9/2014 Sumbawanga
5. Jumatano 1/10/2014
Alhamisi 2/10/2014 Mbozi
Ijumaa 3/10/2014 Mbeya
Jumamosi 4/10/2014 Mbarali
Jumapili 5/10/2014 Mbarali
Aidha Tume inaendelea kupokea taarifa na malalamiko kwa njia ya barua, simu na barua pepe kwa anwani ifuatayo:-
i. Katibu wa Tume
Tume ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili
SLP 9050
Kivukoni Front
Dar es Salaam
ii. Barua Pepe: opereshenitokomeza@agctz.go.tz
iii. Namba za simu:
Tigo: 0714 826826
Vodacom: 0767 826826
Airtel: 0787 826826
Zantel: 0773 826826
Imetolewa Na:
Frederick K.Manyanda
KATIBU WA TUME
9 Septemba, 2014
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments