[wanabidii] Msafara wa Maalim Seif wapata ajali wilayani Misungwi

Saturday, September 06, 2014
Msafara wa Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi CUF ambae pia ni Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif hamad wapata ajali huko katika wilaya ya Misungwi.

Katika ajali hio alieujeruhiwa ni Katibu wa Cuf Wilaya ya Nyamagana Mh Rehema Mwenda na Mkuu wa Kitengo cha Habari Wilaya Mh Shido ambae pia ni Mwenyekiti wa Mtaa Utemini Kata ya Mirongo wamejeruhiwa na kupelekwa Hospitali ya Rufaa Bugando.

 

 


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments