[wanabidii] MSAADA WA DAWA KWA ANAEJUA

Tuesday, September 09, 2014

MSAADA WA DAWA KWA ANAEJUA

Nina dada yangu tunakaa nae hapa nyumban, ilitokea siku moja kuna kabibi kalikua kamelala nje ya geti la nyumba yetu, kwa msaada ikabidi tukape hifadhi kakawa kanalala na huyo dada yetu, cha kushangaza baada ya siku 2 dada aliporudi toka kazini, alikuta kama dawa za kichawi zimemwagika chumbani, akafagia na akaendelea na maisha kama kawaida, lakini cha kushangaza toka bibi yule atoke dada yangu anableed kama bleed ya kawaida bila kuisha, mwezi wa pili sasa unaisha toka aanze kubleed, na yule bibi hatujui yuko wapi, anaejua dawa atusaidie tafadhari...hospitali tumejarib lakini hamna.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments