[wanabidii] MC katika kumpamba Bi harusi akasema,

Monday, September 01, 2014

MC katika kumpamba Bi harusi akasema,
"Sasa nawapa sifa kubwa ya bibi harusi, tangu mi nimfaham huwa havai nguo za ndani.

"Watu wakaduwaa. Sura ya bwana harusi ikakosa ushirikiano. Akasema "Narudia kwa msisitizo na sijakosea, bi harusi huyu havai kabisa nguo za ndani" Watu wote mmmm?!?

Siongei kwa kubahatisha hakika sijawahi kukutana naye akiwa amevaa nguo za ndani. Watu wote nyuso chini.

Akaendelea na kusema yeye huvaa nguo za kutoka nje tu Italy, England na USA, hebu mshangilieniii!!! waalikwa, wazazi maharusi wote hoi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments