Leo tena Historia ya aina yake imeandikwa ambapo Mahakama kuu kanda ya Dar es salaama imetoa amri ya kusitishwa kwa Bunge Maalum la Katiba dhidi ya serikali kupinga Bunge Maalum la Katiba kuendelea. Serikali kupiitia ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) - iliwawasilisha pingamizi ikipinga maombi ya kutaka Bunge Maalum la Katiba lisitshwe, hata hivyo jopo la Majaji watatu likiongozwa na Jaji Agustine Mwarija akishirikiana na Dk Fauz Twaib na Aloysius Mujulizi wamesema kwamba kwa mjibu wa Katiba ya JMT ya 1977ibara ya 98 (1) na kwa mujibu wa sheria Na 5 ya 1984 ib 14. ....., ili marekebisho yoyote ya kikatiba yaweze kufanyika ni lazima yaungwe mkono na 2/3 ya wabunge wa Tanganyika na 2/3 ya wanzanzibar na pia ili hii rasimu inayoandaliwa iweze kupata uhalali wa kisheria na kisiasa ni muhimu kuugwa mkono na 2/3 ya wananchi wote wenye uwezo wa kupiga kura ya ndiyo, katika msingi wa uamuzi wao, hali ya kisiasa iliyopo nchini Tz haitaruhusu kupata consensus ya kikatiba kama sheria kuu. Wakili Hon. Pet Kibatali amesema kwamba huu ni uamuzi wa kuokoa kuteketezwa kwa fedha za wananchi ambazo zingesaidia kutatua kero za elimu ya juu, afya na miunddo mbinu. Nakala ya amri hiyo itaambatanishwa kesho saa nane mchana ktk Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam.
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments